VIDEO MPYA: Lady JayDee - I Miss You October 04, 2017 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Lady JayDee amesafiri mpaka Afrika ya Kusini kwenda kufanya video ya wimbo wake mpya wa "I Miss You" na waongozaji Justin Campos na Icandi huku 'audio' ikitayarishwa na Man Water. Itazame hapa kwa mara ya kwanza: Comments
Comments
Post a Comment