VIDEO MPYA: G NAKO - Energy

G NAKO kutokea WEUSI ametuletea video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la "Energy." Wimbo umetengenezwa kwenye studio za B Record Materials huku video ikifanywa na Hanscana.


Comments