VIDEO MPYA: Bonta ft Nikki Wa Pili - Beautiful

'Member' wa kundi la WEUSI, Bonta Maarifa ameachia video ya wimbo wake mpya aliomshirkisha Nikki Wa Pili unaokwenda kwa jina la "Beautiful." Icheki video hiyo hapa iliyofanywa na Lucca Swahili ambamo ndani yake Jay Moe na Damian Soul. 




Comments