VIDEO MPYA: Diamond Platnumz ft Morgan Heritage - Hallelujah

Diamond Platnumz ameachia ngoma mpya ya 'Hallelujah' ambayo amewashirkisha Morgan Heritage. Itazame hapa video hiyo ikiwa imeongozwa na muongozaji Moe Musa kutokea nchini Nigeria:




Comments