Baada ya kutupiana maneno ya hapa na pale na msaa Wakazi kuhusu Godzilla kufunikwa na ujio wa Bill Nas kwenye gemu ya Bongo Flava iliyopelekea msanii huyo kuachia nyimbo ya kumdiss 'ZillNas,' msanii huyo anayeiwakilisha Salasala ameachia wimbo mpya unaokwenda kwa jina la "X."
Kwenye ngoma hii mpya ambayo imetengenezwa na mtayarishaji Bin Laden wa Tongwe Records, Zilla amezungumzia kwa kiasi kikubwa namna alivyoichukulia ile 'diss' na athari ilizoleta kwenye mziki wake. Isikilize hapa chini:
Comments
Post a Comment