VIDEO MPYA: Shilole - Kigori

Amekuwa kimya kwa muda sasa tangu aachie wimbo mpya msanii wa kike kwenye gemu la bongo flava, Shilole, hii hapa ni video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la "Kigori" uliotengenezwa studio za Mazuu huku video ikifanywa na Joowzey, itazame hapa:


Comments