VIDEO MPYA: Cjamoker - Upande Wangu

Hii hapa ni video ya wimbo mpya wa mtayarishaji wa muziki wa Hip-Hop nchini Tanzania na pia wa kundi la SSK, Cjamoker linaloundwa na Wakazi, Zaiid na P The MC, unaokwenda kama "Upande Wangu." Utazame hapa:




Comments