Amber Lulu amechia ngoma ya pili "Only You" baada ya ile ya kwanza 'Watakoma' kufanya vema aliyomshirikisha Country Boy.
Akiwa chini ya Sweseka Production, auidio ikifanywa na Dapro, hii hapa ni video yake mpya kabisa ikiwa imeongozwa na Deo Abel, icheki:
Comments
Post a Comment