Diamond na Rayvanny wameshirikishwa kwenye 'FRESH REMIX' ya FID Q ambao ni wimbo aliouachia kwenye siku yake ya kuzaliwa Agosti 13.
Kwenye wimbo huu Chibu kafunguka kuzushiwa kwamba mtaani anaitwa 'Baba Dully' ambaye ni mtoto wa Hamisa Mobeto aliyejifungua hivi karibuni.
Pia aliongezea kuwa kufananishwa na 'Cinderella' sio 'FRESH' - ambapo kwa tafsiri ya haraka haraka hapa ametupia dongo kwa mwale wanaomfanasha na Ali Kiba ambapo alishawahi kuimba wimbo huo kipindi cha nyuma.
Usikilize hapa chini kwa makini tuone utapata tafsiri gani.
Comments
Post a Comment