VIDEO MPYA: Nandy - Wasikudanganye

Nandy ameendelea kutuletea kazi nzuri kwenye muziki wa bongo flava kwa mashairi na sauti nzuri kabisa. Ameachia video ya wimbo wake wa "Wasikudanganye" ikiwa imeandikwa na Marioo na kutengenezwa na Ema the Boy. Itazame hapa kwa mara ya kwanza:


Comments