VIDEO MPYA: Aslay - Baby

Hii ni video ya nne kutoka kwa Aslay tangu waruhusiwe kufanya nyimbo zao peke yao tofauti kutoka kwenye kundi la Yamoto Band. Itazame hapa ikiwa inakwenda kwa jina la "Baby."


Comments