Akionyesha yupo 'serious' na gemu ya muziki wa bongo flava, msanii Lulu Diva ameachia video ya wimbo wake mpya wa "Utamu" ambayo audio imefanywa na Abidad huku video akiisimamia Hanscana ambaye mpaka hivi sasa ndani ya mwaka huu pekee amekwishafanya kazi si chini ya 15. Itazame hapa kwa mara ya kwanza:
Comments
Post a Comment