VIDEO MPYA: DJ Khaled ft Sizzla - 'm so Grateful

DJ Khaled ametambulisha uzinduzi wa albamu yake mpya ya "Grateful" kwa wimbo huu wa "I'm so Grateful" akiwa amemshirikisha Sizzla ambamo ndani ya video hiyo yumo mtoto wake wa kwanza wa kiume Assahd. Itazame hapa nimekuwekea:






Comments