Tazama hapa video ya msanii kutokea lebo ya G.O.O.D music inayomilikiwa na Kanye West, Desiigner inayokwenda kwa jina la "Outlet."
Kwenye video hii anaonekana msanii ghali zaidi duniani kwa sasa Paul Pogba anayechezea klabu ya Manchester United ya nchini Uingereza, wote wawili wamedhaminiwa na kampuni ya Adidas kwa upande wa mavazi. Itazame hapa kwa mara ya kwanza:
Comments
Post a Comment