Skip to main content
WIMBO MPYA: Young Dee - Bongo Bahati Mbaya
Rapa katika muziki wa bongo flava nchini, Young Dee akiwa kwa sasa anafanya kazi chini ya lebo ya muziki ya mtayarishaji T TOUCH ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la "Bongo Bahati Mbaya," usikilize hapa:
Comments
Post a Comment