Kwa mara ya kwanza kabisa msanii wa muziki wa Hip-Hop nchini Tanzania, Stamina ametangaza akiwa na furaha kabisa kuwa kwa sasa yupo chini ya usimamizi wa lebo ya muziki ya BABAZ ENTERTAINMENT ambapo mtayarishaji wa muziki Maneck akiwa ndio Meneja Mkuu.
Akitangaza habari hiyo nzuri kwa mashabiki wake wa muziki nchini ameachia kazi yake kwanza aliyomshirikisha Maua Sama, ikijulikana kama "Love Me," Stamina mbali na kufanya hip-hop amesema kuwa yeye ni mshabiki na anasikiliza sana muziki wa miondoko ya RnB.
Itazame video hiyo hapa chini ambapo imetayarishwa Kiri Records huku Khalfani Khalmandro akiwa amehusika kwenye kuitengeza video:
Comments
Post a Comment