VIDEO MPYA: Nedy Music - Dozee

Nedy Music kutokea lebo ya PKP chini ya Ommy Dimpoz ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la "Dozee" ikiwa imetayarishwa na Abi Dady na video kuongozwa na Hanscana, itazame hapa kwa mara ya kwanza:


Comments