VIDEO MPYA: Meek Mill - Left Hollywood

Tazama hapa video ya wimbo mpya wa Meek Mill kutokea lebo ya MMG akielezea kwanini aliamua kuachana na maisha ya Hollywood, wimbo unaitwa "Left Hollywood."


Comments