Tazama hapa video mpya yenye utata ya mwanamuziki kipenzi cha Wamarekani, Katy Perry inayokwenda kwa jina la "Bon Appetit," ambayo kwa mujibu wa mashabiki wengi na wachambuzi wa muziki huko Marekani wanasema inahamasisha ulaji wa nyama za binadamu, lakini mwenyewe anasema ni ubunifu.
Comments
Post a Comment