UMEUSIKIA WIMBO MPYA WA DIAMOND ALIOZUNGUMZIA MASUALA MBALIMBALI YANAYOENDELEA NCHINI IKIWEMO ISHU YA ROMA!!!!????
Hakuna anayeweza kubisha kwamba msanii Diamond Platnumz kuwa ana jina na ushawishi mkubwa katika muziki wa nchini Tanzania na hivyo kwa chochote kile atakachokifanya lazima kitaibua hisia tofauti tu.
Siku ya leo kuna wimbo wa Diamond Platnumz unaosambaa akiwa amezungumzia masuala mbalimbali yanayoendelea katika nchi yetu ya Tanzania kama vile masuala ya serikali kupingwa, vyeti feki, watanzania kufuatilia zaidi uzushi badala ya kufanya kazi, Roma kupotea lakini kikubwa hofu ya watu kuzungumza.
Kama ulikuwa hujausikiliza huo wimbo basi fanya kubofya chini na utoe mtazamo wako kama mshabiki wa muziki wa Tanzania ni nini maoni yako juu ya alichokifanya CHIBU DANGOTE:
Comments
Post a Comment