Ikiwa inakwenda siku ya pili tangu msanii wa muziki wa Hip-Hop nchini Tanzania, Ibrahim Musaa almaarufu kama "ROMA MKATOLIKI" na wenzake Moni Centrozone, mtayarishaji wa muziki wa studio za Tongwe Records na wengine watatu kutekwa na watu wasiojulikana, serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo leo hii imetoa taarifa ifuatayo:
Taarifa zinasema wasanii Roma Mkatoliki na Moni Centrozone pamoja na wenzao walitekwa usiku wa Jumatano walipokuwa studio za kurekodia muziki za Tongwe Records, hapa chini ni nyimbo waliyoifanya wasanii hao na kutayarishwa na Bin Laden:
Comments
Post a Comment