VIDEO MPYA: Sam Wa Ukweli -

Inawezekana nawe ukawa ni mshabiki mkubwa wa muziki wa "Sam wa Ukweli" ambaye alitamba na ngoma kadhaa kipindi cha nyuma. Baada ya kimya kirefu sasa anatukurabisha kutazama video yake mpya ya wimbo wa "KISIKI," icheki hapa chini:


Comments