VIDEO MPYA: Mike WiLL Made It ft Big Sean - On The Come Up

Tazama video mpya ya mtayarishaji na mwanamuziki pia, Mike WiLL Made It akiwa amemshirikisha rapa kutoka Chicago, Big Sean kwenye wimbo mpya unaoitwa "On The Come Up."


Comments