RAYVANNY AMEWASHIRIKISHA MAPHORISA NA DJ BUCKZ KWENYE VIDEO HII MPYA

Msanii Rayvanny amefanya kolabo na miongoni wa wasanii na watayarishaji wakubwa wa muziki barani Afrika, Maphorisa na DJ Buckz, wote wakitokea nchini Afrika ya Kusini kwenye video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la 'MAKULUSA.' Itazame hapa:


Comments